Mark 3:21

21 aNdugu zake walipopata habari wakaja ili kumchukua kwa maana watu walikuwa wakisema, “Amerukwa na akili.”

Copyright information for SwhNEN